NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI ZANZIBAR

 Meneja Masoko wa Benki ya NMB, Shilla Senkoro akimkabidhi sehemu ya msaada wa madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 10/- mke wa makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Mama Asha Balozi madawati yaliyotolewa na benki ya NMB.

Wanafunzi wa shule ya msingi Bumbwini na Mangapwani wakiwa wamekaa kwenye madawati  waliyoyapokea kutoka Benki ya NMB kama msaada ili kupunguza uhaba wa madawati unaozikabili shule nyingi nchini Tanzania.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA