NMB YATUNUKIWA KWA KUFADHILI MKUTANO MKUU WA 29 WAJUMUIYA ZA TAWALA ZA MITAA TANZANIA

03
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi  Mkuu wa Idara ya Mahusiano Biashara ya Serikali NMB, Domina Feruzi  cheti kama ishara ya shukrani kwa  benki ya NMB kwa kuwa mdhamini mkuu wa Mkutano Mkuu wa 29 wa Wajumuia za  Tawala za Mitaa Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha   

08
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Maafisa wa benki ya NMB alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa mkutano wa 29 wa Wajumuia za  Tawala za Mitaa Tanzania uliofanyika mwishoni jijini Arusha   
12Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea kadi ya Chapchap baada ya kupata maelezo kutoka kwa Afisa wa NMB Balthazar Clemence wakati wa mkutano wa 29 wa Wajumuia za  Tawala za Mitaa Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*