SHABIKI WA YANGA AKATWA KIDOLE NA SHABAKI WA SIMBA MWEMBEYANGA LEO

Mashabiki wa Yanga na Simba leo asubuhi walizidisha utani kiasi cha kuanza kuchapana makonde eneo la Mwebeyanga, kiasi cha shabiki wa Yanga kukatwa kidole.

Habari zingine tulizozipata kutoka kwa wadau wa soka wamesema katika tawi kongwe la Mwembe Yanga, wanachama wa Yanga wa tawi hilo, wamekesha wakinuwiza ubani kwa lengo la kuitakia mema hasa ushindi dhidi ya watani wao wa jadi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI