SHEREHE ZA MEI MOSI KITAIFA ZAFANA MBEYA

RAISI KIKWETE AKIWASILI KATIKA UWANJA WA SOKOINE KWA AJILI YA KILELE CHA MEI MOSI.




BAADHI YA VIKUNDI VYA  BURUDANI VIKITUMBUIZA UWANJANI HAPO.

BRASS BAND YA JESHI LA MAGEREZA KUTOKA KIWIRA IKIONGOZA MANDAMANO KUINGIA UWANJANI. 

RAISI PAMOJA NA MEZA KUU WAKIPIGA MAKOFI KUASHIRIA KUPOKEA MAANDAMANO.

VIKUNDI VIKIINGIA UWANJANI KWA MAANDAMANO YALIYOPITA MBELE YA RAISI.




















UONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU YA JIJI LA MBEYA HAWAKUWA NYUMA.














SKAUTI PIA WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI KWA UKAKAMAVU MKUBWA.



BAJAJI NAZO HAZIKUWA MBALI KUSHIRIKI MAANDAMANO HAYO.






MHESHIMIWA RAISI AKIHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI NA WAFANYAKAZI WALIOKUSANYIKA UWANJANI.


RAISI KIKWETE AKITOA TUZO KWA WAFANYAKAZI BORA BAADA YA KUMALIZA HOTUBA, ANAYEPOKEA ZAWADI NI MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA JUMA IDDI.


MEYA WA JIJI LA MBEYA ATANUS KAPUNGA AKIMPONGEZA MKURUGENZI WA JIJI HILO KWA KUPEWA TUZO YA MFANYAKAZI BORA KITAIFA.

RAISI AKIONESHA GAZETI LA MFANYAKAZI BAADA YA KULIZINDUA.

RAISI KIKWETE HAKUSITA KUMKUMBUKA RAFIKI YAKE MGAYA KWA KUMKABIDHI CHETI KWA NIABA YA TUCTA.

Picha na Mbeya yetu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.