Wafanyakazi NHIF jitumenibilakujalimuda- BaloziMchumo.

 

Na Grace Michael
WATUMISHI waMfukowaTaifawaBimayaAfya (NHIF) wametakiwakufanyakazibilakujalimudawaowakaziwaliopangiwakutokananaumuhimuwamajukumuwaliyokabidhiwayakutoahudumazamatibabukwawanachamanakuhakikishaWatanzaniawotewanakuwakwenyeutaratibuwabimayaAfya.
AkifunguaBarazaKuu la WafanyakazimjiniBagamoyo leo, MwenyekitiwaBodiwa NHIF, Balozi Ali Mchumo, alisemakuwaililengo la kuwafikiawatanzaniawenginawanachamawaMfukohuokupatahudumazilizo bora nivyemawafanyakaziwakaendelezautamaduniwalioujengawakufanyakazikwakujitumabilakujalikumalizikakwamudawakaziuliopangwa.
“Historiamliyoijengayakufanyakazibilakuchokanivyemamkaiendeleza, jukumutulilokabidhiwanikubwanazitohivyokilammojakwanafasiyakeahakikisheanajitumanakwakuzingatiakanuninataratibuzakazi,” alisisitizaBaloziMchumo.
Akizungumziauimarishajiwashirikahilo, aliagizawatumishihaokuhakikishawanajiridhishakatika mambo yotehususanyauhakikiwamadaiyawatoahudumakutokananakuwepokwaudanganyifuwamadaiunaofanywanabaadhiyawatoahudumailikuhakikishafedhazinazolipwanaMfukozinalipwakwamatumizihalaliyawanachamanasivinginevyo.
Kuhususuala la nafasizawategemezikwamwanachamamchangiaji, alisemakuwamwongozouliotolewaunaoelekezawategemeziwamwanachamaufuatweilihudumainayotolewanaMfukoinawahusuwalengwamojakwamojaambaoniMke au mme, watotonawazaziwamwanachamamchangiaji.
“Hakikishenihudumainakuwanikwawalengwanahatauandaajiwavitambulishoufanyikekwamakininakujiridhishazaidiilikitambulishokitolewekwamlengwaambayeametimizamatakwayakuwamtegemezi au mnufaikawaMfuko,” alisema.
BaloziMchumoalikwendambalizaidikwakuwatakawatumishiwaMfukohuokuhakikishawanaendelezadhanayaushirikishanajiilikuletaufanisizaidikatikakazi.
KwaupandewaBodi, alisemaitahakikishainalipakipaumbelesuala la kuuelimishaummakuhusiananadhanayabimayaafyailikutimizamalengoyalipoyaWatanzaniakujiungana NHIF/CHF.
NayeNaibuMkurugenziwa NHIF, HamisMdeewakatiakitoanenola shukranialisisitizazaidikuzingatiamaagizoyaliyotolewanaMwenyekitiwaBodikutokananaukwelikwambaWatanzaniawanayomatumainimakubwanaMfukohasakatikautoajiwahudumazamatibabu.
KwaupandewaMwenyekitiwa Chama cha Wafanyakazi, Baraka Maduhu, alisemakuwanivyemawafanyakaziwakatambuakuwahakinawajibunivituvinavyokwendasambambahivyokilammojaahakikisheanatimizawajibu wake ipasavyo.

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA