WAMA WAPOKEA MSAADA WA SHILINGI MILIONI 70 KUTOKA KAMPUNI YA MONTAGE LTD

Ni muhimu sana kwa makampuni mbalimbali kujali suala hili ili kutokomeza kabisa tatizo hili katika jamii ya kitanzania. Montage Limited Company wameonesha mfano mzuri kwa wadau wengine na lazima moyo wa utu kama huu uigwe na wengine.IMG_2718Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na menyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akizungumza katika hafla hiyo baada ya kupokea msaada wa shilingi milioni 70.
Mama Salma amelishukuru sana kampuni ya Montage Limited kwa msaada huo na kuyataka makampuni mengine kuiga mfani huo mzuriIMG_2727Mke wa rais na mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni 70 kutoka ka mkurugenzi wa Montage Limited Company, Ms Teddy Mapunda. Zoezi hilo la kuigwa limefanyika wikiendi hii jijini Dar es salaam ili kuchangia juhudi za kujali afya ya mama wajawazito na watoto. (Kushoto) ni Mkurugenzi wa ITV,  Joyce Mhaville,  (Wapili kushoto) ni Montage Director of Finance, Ms Zainabu Mkindi, (Kulia) ni Mwanahamisi Kitogo na katibu wa foundation Mr Daud Nassib

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA