YANGA YAISASAMBUA SIMBA 2-0

 Wachezaji wa Yanga wakishangilia huku wakiwa na Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara walilokabidhiwa baada ya kuwabwaga watani wao wa jadi Simba mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

 Binti shabiki wa Yanga akishangilia huku akiwa na kombe bandia
 Yanga wakishangilia bao la kwanza dhidi ya Simba lililofungwa na Kavumbagu katika dakika ya tano kipindi cha kwanza
 Yanga wakishangilia bao
 Juma Kaseja golikipa wa Sima akiwa chini baada ya kugonga nguzo alipokuwa akiokoa hatari
Moja ya vurugu zilitokea katika mechi hiyo
 Mwamuzi Martine Saanya wa mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba, akiwa chini baada ya kugongana kwa bahati mbaya na mchezaji Kavumbagu wa Yanga wakati wa alipokwenda kuamulia ugomvi.
 Kocha msaidizi wa Simba Jamhuri Kihwelu 'Julio' akiteta jambo na Nahodha wa Yanga Haroub Canavaro baada ye mechi kumalizika
 Benchi la Simba likiwa hoi baada ya kufungwa bao lapili na Yanga
 Kocha wa Yanga akiwa amebebwa na wachezaji walipokuwa wakishangilia ubingwa
 Yanga wakishangilia kianika
 Yanga wakivishwa medali za ushindi
 Kavumbagu wa Yanga akifunga kwa kichwa bao la kwanza dhidi ya Simba
                                                                    Simba lazima achinjwe
 Simba wakiwa na furaha kabla ya kufungwa na watani wao wa jadi Yanga
 Mashabiki wa Yanga (kulia) na wa Simba kushoto

 Yanga ni nderemo kila mahala
Kipa wa Yanga, Ali Mustapher 'Barthez' akirushwa juu ya wachezaji wenzie wakati wakishangilia ushindi  wa mabao 2-0 dhidi ya watani wao wa jadi Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU