Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Bajeti ya Serikali atakayoiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi siku ya Jumatano 12/06/2013,mkutano uliofanyika Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee kuhusiana na Bajeti ya Serikali atakayoiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi siku ya Jumatano 12/06/2013,mkutano uliofanyika Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA