ASKARI WA USALAMA BARABARANI IRINGA MSIFUMBIE MACHO UZEMBE KAMA HUU MLIMA KITONGA

Basi la kampuni ya  Hood lililokuwa  likitoka Tunduma  kernda Dar likijaribu  kulipita lori  katika kona kali  za mlima  Kitonga
Hapa  dereva  wa  basi hilo bila  kujali usalama  wa abiria  wake akiendelea  kutaka  kupenya jambo ambalo ni hatari  zaidi
Hapa  akiwa katika harakati za  kulipita  Lori hilo
Hapa  basi  hilo lenye namba  T 751 AVL likinusurika   kugongana  uso kwa uso la basi la Sumry baada ya  kulazimisha  kulipita  lori katika eneo la mlima  Kitonga  huku kukiwa na  kona kali kiasi cha  basi hilo kutaka  kutumbukia katika korongo la mlima  huo kama  linavyoonekana kushoto ,kazi ya  usalama  wa abiria na kudhibiti  uzembe wa madereva kama  hawa katika mlima  Kitonga  lipo  mikononi mwa  askari wa kikosi cha usalama  barabarani mkoa wa Iringa ambao mwaka jana  waliagizwa na mkuu wa kikosi hicho Taifa  Mohamed Mpinga  kuweka askari eneo hilo  ila wameonyesha  kupuuzia

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI