LEO NIPO ZIARA KIJIJINI ISIMANI TARAFANI NA KUTEMBELEA ENEO AMBALO RC WA MKOA WA IRINGA DR KRELUU ALIOWAWA KWA RISASI

Watoto  wa  kijiji cha Mkungugu tarafa ya  Ismani wilaya ya Iringa  vijijini  wakielekea  kukusanya mawe kando kando ya barabara  ya Iringa- Dodoma ambayo inajengwa kwa ajili ya kukusanya mawe  ya ujenzi  wa nyumba

 Huu  ni mnala  wa aliyekuwa mkuu  wa mkoa  wa Iringa marehemu Dr Kreluu aliyeuwawa  kwa  kupigwa risasi na mzee Mwamwindi
Wakazi wa Mkungugu tarafa ya  Isimani  wilaya ya  Iringa vijijini  wakipita  jirani na mnala  wa aliyekuwa mkuu  wa mkoa  wa Iringa marehemu Dr Kreluu aliyeuwawa kwa  kupigwa  risasi na marehemu Mwamwindi  aliyehukumiwa  kunyongwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.