CHAGUZI ZAGEUZWA ULINGO WA DAMU.

P6160820 32291Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wilayani Kilolo, Lunyiliko Nyaulingo.

YUMKINI hali si shwari tena nchini, baada ya jana chaguzi mbalimbali za kuziba nafasi za udiwani kutawaliwa na matukio ya vurugu na umwagaji damu.

Katika maeneo mbalimbali zimeripotiwa vurugu hizo ambazo ziliwahusisha mashabiki na makada wa CCM na CHADEMA.

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), alishambuliwa na vijana wa CCM na kulazimika kulazwa katika hospitali ya Selian mkoani Arusha.

Nasari alijeruhiwa katika vurugu zilizotokea katika kituo cha kupigia kura cha Zaburi, Kata ya Makuy

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA