HALI ILIVYOKUWA BAADA YA BOMU KULIPUKA ARUSHA

BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA NA KUUA WATU WAWILI HAPOHAPO

 Hii ndio hali halisi kwa sasa huko Arusha
 Baadhi ya watu waliopatwa na mahafa ya mlipuko huo wakiwa wanasaidiwa na wasamalia wema
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo chetu cha habari kutoka jijini Arusha zinasema kwamba kitu kinachosadikika kuwa ni bomu limelipuka kwenye mkutano wa chadema jijini Arusha limeua watu wawili na kujeruhi wengine. 
 
Na gari la hospitali limevunjwa vunjwa vioo na watu wanaosadikika kuwa na  hasira kali baada ya kuchelewa kuwachukua majeruhi hospitalini wakati hali zao ni mbaya. Na hivi sasa watu wanatumia magari yao binafsi kuwapeleka majeruhi hospitalini . Napia kamanda mkuu wa mkuu wa mkoa wa Arusha yuko kwenye eneo la tukio lakini bado hajangea na vyombo vya habari.Mpaka sasa mlipuko huu chanzo chake hakijajulikana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI