JK APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI 4

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Sri Lanka hapa nchini, Tahmbirajal Roveenthiran anayeiwakilisha  nchi yake kutokea Kenya. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam
 Mwangalizi wa Ikulu, Shaban Gurumo (kushoto) akimlaki Balozi mpya wa Thailand hapa nchini, Ittiporn Boonpracong anayeiwakilisha  nchi yake kutokea Nairobi Kenya. Hafla hiyo kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani) ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkuu wa Itifaki Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Maharage Juma
 Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Ethiopia hapa nchini, Shemsudia Roble anayeiwakilisha  nchi yake kutokea Kenya
 Bendi ya Polisi kipiga wimbo wa Taifa wa Tanzaniawakati wa hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete (kulia), akizungumza na Balozi mpya wa Trinidad & Tobago, Patrick Edward baada ya kupokea hati ya utambulisho. Anaiwakilisha  nchi yake kutokea Kampala, Uganda.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI