KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM LEO

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kikomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan hayupo pichani wakati wa mazungumzo yao na ujumbe wa chamnye hoteli ya Courtyard Jijini Dar es salaam ujumbe wa chama hicho uko hapa nchini kwa mazungumzo ya kuimarisha uhusiano wa siku nyingi kati ya vyama vya CCM na CPV kinachotawala nchini Vietnam, Kushoto ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC  siasa na Uhusiano wa Kiamataofa  CCM na kulia ni Nape nnauye Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi CCM. 2Ujumbe wa vyama vya CCM na CPV Vietnam ukiwa katika mazungumzo kwenye  hoteli ya Courtyard jijini Dar es salaam leo. 3Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh Quan akizungumza katika kikao hicho, kulia ni  Balozi wa Vietnam Tanzania, NguyenThien na kushoto ni Pham Hai Mkuu wa masuala ya Afrika na aliyekuwa mkaliamani katikamkutano huo 4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo yake na ujumbe wa chama cha Kikomunisti cha Vietnam. 5

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI