KIBANDA USO KWA USO NA MAKAMU WA RAIS DK.BILAL

Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, wakati alipofika ofisini kwa makamu Ikulu, Dar es Salaam jana, kwa mazungumzo pamoja na kumwelezea maendeleo ya afya yake baada ya matibabu Afrika Kusini. (PICHA NA OMR)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*