KINANA KATIKA MKUTANO NA MAKAMU MWENYEKITI WA PLO

3. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO) Tayseer Khalid (wapili kushoto) katika mazungumzo maalum yaliyofanyika kwenye hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam, leo Juni 12, 2013. Wapili kulia ni Katibu wa HKT ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. Wengine, Watatu kushoto ni Balozi wa Palestina nchini, Dk. Nasri Abujais. (Picha na Bashir Nkoromo).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA