Kutoka Bungeni Leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Hawa Ghasia kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 13, 2013. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Emmanuel Nchimbi kwenye viwanja vya Bunge Mjini dodoma Juni 13, 2013. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wabunge Batrice Shelukindo wa Kilindi (kushoto) ana Aza Hilal wa Viti Maalum wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na Wabunge Lolesia Bukwimba wa Busanda (katikati) na Felista Bura wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni13, 2013. (Picha na Ofisi yaWairi Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.