MANDELA BADO YUPO MAHUTUTI

Mandela get well soon. NELSON Mandela amekaa kwa siku ya pili hospitalini akiwa mahututi, huku hofu ikizidi kuwa shujaa huyo wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangu huenda akapoteza mapambano yake ya mwisho.

Licha ya jitihada za kila aina kutoka kwa madaktari katika hospitali ya Mediclinic ya mjini Pretoria, hali ya mpambanaji huyo mwenye umri wa miaka 94 imeendelea kudorora katika siku za hivi karibuni. 

Raia wa Afrika Kusini wamekuwa wanapita karibu na nyumba ya Mandela mjini Johan

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.