MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA YAKIENDELEA NCHINI GHANA

IMG_4814 
Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akiwa na watumishi wa wizara ya fedha akifafanua kuhusu mikopo inayotolewa na wizara ya fedha. IMG_4842
Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi Bw. William Ghump akifafanua jambo kuhusu Mkakati wa kukuza uchumi na kuondoa umasikini  kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha. IMG_4849
Mkuu wa Serikali Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa Wizara ya Fedha Bi. Christine Ngonyani akifafanua jambo kwa wananchi wa Ghana.
IMG_4860
Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma akijibu swali      kutoka     kwa Mwanajeshi wa Ghana aliyekuwa anataka kujua ni jinsi gani Wizara ya fedha inawasaidia wanajeshi ambao wanataka kujikwamua kiuchumi.Wakushoto kwake ni Bw. Midladjy Maez(Mkatamiti) ambaye ni Maneja wa Mahusiano TRL akisikiliza kwa makini maelezo hayo. IMG_4875
Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Bi Christine Ngonyani akiwa na Miriam Mnzava kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Ingiahedi Mduma wakiwapatia huduma wakuu wa jeshi la Magereza la nchini Ghana.
IMG_4920
Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Wizara ya Fedha kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Bi. Christine Ngonyani akiwa na watumishi wa wizara ya fedha walipotembelewa na Bw. Pascal Mugabe ambaye ni Afisa Tawala Rasilimali Watu wa Idara ya Utawala, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye yupo Nchini Ghana kwa masomo ya elimu ya juu(Phd) .
IMG_5040
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani alipotembelea banda la Wizara ya fedha na kuelezea jinsi alivyofurahishwa na ushiriki wa Wizara ya fedha katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
IMG_5052
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani akisani kitabu cha wageni. Picha zote na Scola Malinga – Hazina- Tanzania

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*