MTOTO WA MNADHIMU WA JWTZ MBARONI KWA MAUAJI
Mama
mmoja ajulikanae kwa jina la Magreth Simon Nkwera ambae ni mtoto wa kwanza wa
mnadhimu mkuu wa kwanza wa JWTZ Brig Gen Simon Nkwera amekamatwa kwa Mganga wa
kienyeji kulia akijaribu kutekeleza jaribio la kuwauwa baadhi ya watoto wa mumewew na
baadhi ya ndugu zake huko kibaha maili moja mkoani Pwani na hivi sasa yupo
katika kituo cha polisi Maili moja akisubiri kupandishwa
kizimbani.(picha na Jabir Mking'imle)
MAANDALIZI YA KUAGA MWILI WA MKURUGENZI KILOLO YAKIENDELEA NJE YA CHUMBA CHA MAITI HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA IRINGA-LIVE
Marehemu Mohamed Ngwalima aliyeshika kitabu enzi za uhai wake |
Marehemu Mhamedi Ngwalima kutoka kulia akipeana mkono na mkuu wa wilaya ya kilolo Mh.Gerad Guninita |
kaimu mkurugenzi wa wilaya ya kilolo akiteta jambo na mwenyekiti wa halimashauri |
Watumishi wa Halmashauri ya Kilolo
na wananchi mbali mbali wakiwa katika Hospital ya mkoa wa Iringa
wakisubiri kuaga mwili wa mkurugenzi wao
Mwanasheria wa mkoa wa Iringa Bw Paul Lekamoi akiwa na waombolezaji wengine
Mratibu wa Sensa mkoa wa Iringa kulia akiwa na waombolezaji wengine
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilolo Joseph Muhumba kulia akiwa na kaimu mkurugenzi wa Kilolo
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi akiwa katika msiba huo hii kweli ni polisi jamii
MAREHEMU MOHAMED SAID NGWALIMA
Marehemu alizaliwa tarehe 16 februari
1957 ikwiriri rufiji na kupata elimu ya sekondari kidato cha kwanza
mpaka kidato cha nne katika shule ya sekondari same kuanzia mwaka
1978-1980 alipata elimu ya kidato cha tano na sita katika shule ya
sekondari shinyanga
mwaka 1980 mpaka 1981 alitumikia
taifa katika jeshi la kujenga taifa kabla ya kujiunga na masomo ya
shahada ya uchumi katika chuo kikuu cha dar es salaam,sgahada
aliyotunukiwa mwaka 1986
Mara baada ya kutunukiwa shahada ya uchum i mwaka 1986,aliajiriwa kama mchumi katika halimashauri ya wilaya ya Mtwara.
Al;itumikia taifa katika maeneo
mbalimbali kama mchumi mpaka mwaka 2007 alipoteuliwa kuwa mkurugenzi
mtendaji wa halimashauri ya wilaya ya Mbulu.
Mwaka 2012 alihamishiwa katika
halimashauri ya wilaya ya Mtwara na mwaka huu 2013 alihamishiwa katika
halimashauri ya wilaya ya kilolo ambako amekuwa mkurugenzi mtendaji wa
halimashauri hiyo mpaka mauti ilipo mfika tarehe 25/06/2013 saa 1:15
jioni katika nyumba aliyokuwa anaishi na familia yake ilyopo karibu na
ofisi za halimashauri hiyo
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA
Comments