PLAN INTERNATIONAL YATOA MAGARI MANNE


Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dr. Donan Mmbando akiponyeza kitufe cha kingora katika moja ya magari ya wagonjwa kama ishara ya kuyapokea   magari manne ya wagonjwa kutoka kwa wahisani ambao ni Plan International na  Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Canada (CIDA) katika halfa iliyofanyika jana. Picha na Lorietha  Laurence- Maelezo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU