REDD'S MISS MOROGORO 2013 NI DIANA LAIZER
Mshindi wa taji la Redd's Miss
Morogoro 2013 Dian S. Liazer akiwapungia mikono wananchi huku akiwa na
mshindi wa pili Sabra Islam na mshindi namba tatu Musne Abdul,kushoto
ni mdhamini mkuu wa shindano hilo mwakilishi wa NAF BAECH HOTEL Rama
Chalinze
Matangaza haya kwa udhamini wa NAF Beach Hotel Mtwara ipo mbioni kufunguliwaPICHA ZOTE NA FRANCIS GODWIN BLOG
Comments