TIGO, HUAWEI WAZINDUA MAUZO YA SIMU MPYA YA ASCEND Y300

 Meneja wa Data Kasi wa Kampuni ya Tigo, Benedict Mponzi (kushoto), akionesha katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, simu mpya aina ya Ascend Y300 yenye uwezo mkubwa ambayo inasambazwa kwa ushirikiano na Kampuni ya Huawei Technologies Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Bidhaa wa Huawei, Ma Li. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA