WANAWAKE WANAPENDA SANA KUSEMA MANENO HAYA.......

Kuna mdau katika utafiti wake wa kichokozi amegundua kuwa kuna maneno ambayo asilimia kubwa ya Wanawake wanapendelea sana kuwaambia Wanaume.

Hapa ametaja Baadhi….

1- Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...sasa unaniona sina maana tena.

2- Wewe unataka kunichezea tu. Hauna malengo na mimi

3- Ni kipi hasa kinachokufanya uniringie?

4- Nataka unipe pesa leo, lazima nisolve hii problem leo siwezi kusubiri kesho.

5- Wakati ulipokuwa hauko na mimi ulikuwa ukimmega nani?
6- Katika Wanaume na wewe Mwanamme? Una nini hasa cha kunishtua?

7- Hivi hautaniumiza moyo wangu kweli?

8- Hivi ni kweli utanioa?

9- ktk wanaume na wewe mwanaume! Kwanza mwanaume suruali!

10- Hautakuja kupata mwanamke kama mm ktk maisha yako.

11- Nyie wanaume wasiku hizi hamuaminiki

12- Wee jishaue...unadhan mwaume ukopekeako

13- ..……………………………Endeleza List

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA