WENGI WAJITOKEZA KUUPOKEA MWILI WA MANGWEA

 Gari lililobeba mwili wa aliyekuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, marehemu Albert Mangwea likisukumwa  kutoka Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo baada ya kuwasili kutoka Afrika Kusini alikopatwa na mauti, kwenda kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam, kabal ya kuagwa kesho kwenye viwanja vya Leaders.
 Umati wa wananchi waliojitokeza kuupokea mwili wa Mangwea
Msafara ukielekea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambako mwili wa Mangwe utahifadhiwa leo. (PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA