WENGI WAJIUNGA CCM, AKIWEMO KIONGOZI WA CHADEMA WANGING'OMBE,NJOMBE

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Wanging'ombe, Oscar Mbafu, akighani shairi la kuisifia CCM na kuinanga Chadema baada ya kuondoka cha ma hicho na kuijinuga na CCM, katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na viongozi wa CCM, akiwemo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika Kata ya Luduga, wakati wa ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama hicho  pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya chama. PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Aliyehama Chadema na kujiunga na CCM, Oscar Mbafu akitangaza kutoa kwenye chama hicho cha awali na kujiunga CCM katika mkutano huo wa hadhara.
Katibu Mkuu wa CCM, Abbdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Luduga, wilayani Wanging'ombe. Katika mkutano huo, Kinana alikemea uchochezi unaofanywa na wapinzani kwa wananchi. Pia alizisaidia timu za wilayani humo mipira 10 na jezi kumi kwa ajili ya michuano mbalimbali.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.