Airtel Tanzania yala futari na wateja wake

 Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto) akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kushoto) akiwakaribisha baadhi  ya wateja wao katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
 Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania wakifuturu katika hafla iiliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.