ALIYEWAHI KUWA MTUMISHI WA SHIRIKA LA UJASUSI LA MAREKANI NA SASA KUWASUMBUA  EDWARD SNOWDEN KUFANYA MKUTANO NCHINI MOSCOW.

MFANYAKAZI wa zamani wa Shirika la ujasusi la Marekani Edward Snowden leo atakutana na wanaharakati wa haki za binaadamu mjini Moscow. Mkutano wao utafanyika katika uwanja wa ndege mjini humo alipo kwa majuma matatu. 

Wanaharakati kadhaa, wameliambia Shirika la habari la ufaransa AFP kwamba watahudhuria mkutano huo baadae mchana huu wa leo, baada ya kupata mwal

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*