Benki ya NBC yazindua kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa wa benki hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mikopo, Andrew Lyimo, Mkuu wa Huduma za Rejareja, Raymond Mutagahywa, Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale na Kaimu Mkuu wa Hazina, Ivan Tarimo.  
Mkuu wa Mikopo wa Benki ya NBC Tanzania, Andrew Lyimo (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa  jijini Dar es Salaam leo. Wengine kulia kwake ni Mkuu wa Huduma za Rejareja, Raymond Mutagahywa, Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Bi. Mizinga Melu na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Mwinda Kiula Mfugale.  
Mkuu wa Huduma za Rejareja wa Benki ya NBC Tanzania, Raymond Mutagahywa (kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo ya Wafanyakazi Waajiriwa jijini Dar es Salaam leo. Wengine kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Tanzania, Bi. Mizinga Melu,  Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Bi. Mwinda Kiula Mfugale na  Kaimu Mkuu wa Hazina wa NBC, Ivan Tarimo. 
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Mwinda Kiula Mfugale (wa pili kulia) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya waandishi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Mikopo kwa Wafanyakazi Waajiriwa ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*