MAZISHI YA DEREVA BODA BODA ALIYEKUFA KWA AJALI YATIKISA MJI WA IRINGA

 Madereva  piki  piki (Bodaboda) mjini Iringa  wakiwa nje ya  Hospital ya mkoa  wa Iringa  kwa ajili ya  kuchukua mwili wa dereva mwenzao Ayub Mgumba  aliyefariki jana katika Hospital ya rufaa ya mkoa  wa Iringa kufuatia ajali ya  pikipiki

 Umati mkubwa wa madereva boda boda  mjini Iringa wakiwa  nje  ya chumba  cha  kuhifadhia maiti katika Hospital ya Rufaa ya mkoa  wa Iringa mchana huu

 Mpiga  picha MC akipiga  picha ya  marehemu  kwa ajili ya kumbukumbu yake


 Madereva  wakijipanga  kwa ajili ya kuanza  safari  ya kuelekea kijiji cha Lupalamwa  jimbo la Kalenga kwa mazishi ya mwenzao  huyo












 Mwili  wa marehemu  Ayub Mgumba  ukiwa  bado wodini  jana
Ayub Mgumba  enzi  za uhai  wake
Habari  inakujia  hivi  punde

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.