BREAKING NEWS: WANAFUNZI WA LUTHERAN JUNIOR SEMINARY WAFANYA MAANDAMANO HADI KWA ASKOFU WA KKKT MOROGORO WAKIMTAKA KUMUONDOA NAFASI MKUU WA SHULE.

Sehemu ya wanafunzi wakiwa na bango lenye moja ya ujumbe wakati katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) asubuhi ya leo.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Junior Seminari wakiwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wakimsikiliza Askofu wa Kanisa hilo, Jacob Mameo Ole Paulo (hayupo pichani) mara baada ya jumla ya wanafunzi 600 wa kidato cha kwan
za hadi sita kufanya maandamano yaliyoanzia shuleni hadi ofisi za askofu yaliyoanza majira ya saa 12 asubuhi wakimtaka kumuondoa kazini mkuu wa shule hiyo kwa madai mbalimbali....Kwa habari zaidi endelea kutembelea Blog JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.