HASHEEM THABEET ANAYECHEZEA KIKAPU MAREKANI ATINGA UWANJA WA TAIFA DAR KUSHUHUDIA MECHI YA TAIFA STARS NA UGANDA

 Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania, anayechezea timu ya kikapu ya Oklahoma City Thunder ya Marekani, Hasheem Thabeet akiwapungia mikono wapenzi wa soka wakati wa mechi ya Taifa Stars na timu ya Uganda 'The Cranes'ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mchezaji wa Kimataifa Mtanzania, anayechezea timu ya kikapu ya Oklahoma City Thunder ya Marekani, Hasheem Thabeet akiwasalimia wapenzi wa soka wakati wa mechi ya Taifa Stars na timu ya Uganda 'The Cranes'ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA