KIKWETE APULIZA KIPYENGA MECHI YA WABUNGE WAPENZI WA YANGA NA SIMBA. YANGA YAIBUKA KIDEDEA KWA MIKWAJU 4-3

 Rais Jakaya Kikwete akionesha filimbi kabla ya kupuliza kuanzisha pambano la wabunge wapenzi wa Yanga na wa Simba katika Tamasha la Usiku wa Matumaini, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa tamasha hilo, Eric Shigongo na kushoto ni mwamuzi wa mechi hiyo, Othman Kazi. Yanga ilishinda kwa penalti 4-3
 JK akisalimiana na mwamuzi wa mchezo huo
 Simba wakifanya mazoezi ya kupasha misuli
 Yanga wakipasha misuli
 Wapenzi wakishuhudia mpambano huo
 Timu zikiingia uwanjani
 Wanahabari wakiwa kazini
 JK akitia saini kwenye mpira
 JK akisalimiana na wachezaji wa timu hizo mbili
 JK akipiga picha ya pamoja
 Timu ya wachezaji wa wabunge wapenzi wa Simba
 Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Tgaifa ukipigwa
 Kikosi cha wachezaji Wabunge wapenzi wa Simba
 Mtanange huoooo






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.