MAMBO YA MKUTANO MKUU WA SIMBA

 Mwenyekiti wa Klabu ya Simba akihutubia katika mkutano mkuu wa wanchama kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterrbay Dar es Salaam leo.
 Rage (katikati) akisindikizwa na baadhi ya askari kanzu kutoka kwenye mkutano huo

 Mtoto Alhaji Samwel (11), mwanachama wa Klabu ya Simba kadi namba 696, kutoka Ujiji Kigoma, akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kuhudhuria mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay, Dar es Salaam. Mtoto huyo alisema kuwa aliuwahi mkutano huo kwa kusafiri kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam baada ya 'kuzamia' kwenye treni (Reli ya Kati) bila kulipa nauli.
                          Wanachama wakihakikiwa kabla kuingia kwenye mkutano.
 Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Aden Rage (kushoto) akimkabidhi  mwanachama Hamis Kilomoni, nyaraka za mikataba ya mali za klabu hiyo.
 Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Aden Rage akisalimiana na wanachama wa klabu hiyo baada ya mkutano mkuu wa  klabu hiyo kumalizika kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay, Dar es Salaam
 Baadhi ya wanachama wa Simba wakishangilia baada ya mkutano huo kumalizika.
Baadhi ya wanachama wakiwa nje baada ya kumalizika  mkutano huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA