MCHUNGAJI MTIKILA AMWANDIKIA BARUA RAIS KIKWETE KUDAI GHARAMA ZA TANGANYIKA KWA ZANZIBAR TANGU 1964 ZILIPOUNGANA

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Idara ra Habari MAELEZO, Dar es Salaam leo, kuhusu barua aliyomwandikia Rais Jakaya Kikwete akimtaka auleze umma ni kiasi gani Tanganyika (Tanzania Bara) imetumia kuigharamia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Gharama za Muungano na umeme unaotumika Zanzibar kutoka Bara.
 Mtikila akifafanua jambo kuhusu Mchakato wa  mabadiliko ya Katiba Mpya ambapo yeye ameupinga
 Mtikila akiondoka baada ya mkutano huo wa dharula alioufanya kwenye ukumbi huo bila kulipia
Sehemu ya barua ya Mtikila kwenda kwa Rais Jakaya Kikwete. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.