Skip to main content



MFUKO WA BIMA YA AFYA WAANZISHA MIFUMO MIWILI MIPYA

 
Na Elizabeth Ntambala wa matukiodaima.com ,Rukwa
MFUKO WA bima ya taifa NHIF umeanzisha mifumo
miwili ya mipya ya utoaji huduma za tiba kwa wagonjwa hususani wale
wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa ni pamoja na kutoa mikopo ya
vifaa tiba kwa hospital na vituo vya afya vilivyosajiriwa na mfuko huo.

Mkurugenzi
wa  tiba na  ufundi wa mfuko wa bima ya afya Dkt Frank Lekey aliyasema
hayo wakati wa uzinduzi wa huduma za tiba zilizotolewa kwa muda wa siku
sita na madaktar bingwa toka hospital ya mifupa ya Moi hospital ya Taifa
muhimbili pamoja na wale wa hospitali ya rufaa  Mbeya na wenyeji wao wa
mkoa wa Rukwa huku zoezi hilo likienda pamoja na utoaji wa vifaa tiba
kwa hospital hiyo ya sumbawanga mkoa Rukwa.

Kwa upande wake kaimu
mganga mkuu wa mkoa wa Rukwa Emmanuel Mtika Alisema licha ya kupongezwa
kwa mfuko huo wa bima ya afya kwa kusongeza huduma za matibabu kwa
wagonjwa ile hali mpango huo pia utaongeza na kuboresha kiwango cha
utoaji wa huduma za kitabibu kwa wakazi wa mkoa wa Ruwa.

Awali
akizindua mpango huo wa utoaji matibabu mwishoni mwa juma unaofanywa na
madaktar bingwa katibu tawala mkoa wa mkoa wa Rukwa Salum Chima kwa
niaba ya mkuu wa mkoa alisema mifuko ya afya ya jamii na ule wa bima ya
afya ni mkombozi wa upatikanaji wa matibabu ya uhakika na kuwataka
wananchi ambao hawajajiunga na mfuko kujiunga na kuona umuhumu sasa wa
kujiunga /

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.