MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA NA MPANGO WA KUPELEKA MADAKTARI BINGWA MIKOANI

 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Idara Habari Maelezo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mpango huo.
 Ofisa Mwandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Dk. Daud Bunyanyiga, akikichangia kutoa maelezo kuhusu mfuko huo.
  Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Idara Habari Maelezo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mpango huo. Kushoto ni  Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga.
 Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga (kushoto), akichangia kutoa maelezo kwenye mkutano huo. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa na
  Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto. (Picha na www.mwaibale.blogspot.com)
 Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Raphael Mwamoto (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Mwandamizi wa mfuko huo, Dk. Daud Bunyanyiga na Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
You might also like:

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA