MJUMBE WA HALMASHAURI KUU NA KAMATI KUU YA CCM TAIFA NA MLEZI WA CCM MKOA WA SIMIYU MH.JERRY SILAA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI HUMO.

20130708_112501_resized
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Simiyu Mh.Jerry Silaa akipokelewa na viomgozi mbalimbali wa Chama Mkoani Simiyu mara tu baada ya kuwasili mkoani humo.
20130708_112507_resized
20130708_112643_resized
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Simiyu Mh.Jerry Silaa akisaini kitabi cha wageni katika ofisi za Chama Mkoani Simiyu.
20130708_121852_resized
Mh. Jerry Silaa akiangali burudani ya ngoma (haipo pichani) mara tu baada ya kuwasili mkoani humo.
20130708_122106_resized
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Simiyu Mh.Jerry Silaa na viongozi mbalimbali wa Chama Mkoani Simiyu wakiimba nyimbo za Chama.
20130708_122154_resized
MC akitambulisha meza kwa Wanachama wa CCM mkoani Simiyu.Picha na
-- Zainul A. Mzige)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU