MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA WAFANYIKA SERENA HOTEL

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihojiwa na Mtangazaji, Adesewa Josh kutoka  Channels TV ya nchini Nigeria wakati wa mkutano wa wake wa Marais wa nchi zaa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam tarehe 3.7.2013.


Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika wakisikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipohutubia mkutano huo tarehe 3.7.2013.

Rais Jakaya Kikwete akihutubia mkutano wa siku mbili wa wake wa marais wa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush na mke wake Mama Laura Bush pamoja na Mama Salma Kikwete wakiangalia igizo lililokuwa linafanya na kikundi cha Tanzania House of Talent wakati wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena tarehe 3.7.2013.

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakiwa katika picha ya pamoja na wake wa marais wa Afrika  na wana kikundi cha Tanzania House of Talents mara baada ya kufanya igizo kwenye mkutano wao kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 3.7.2013. PICHA  NA JOHN LUKUWI

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*