Mwanza mabingwa ARS 2013 , Kinondoni wasichana watwaa kombe


Wachezaji 6 nyota ( waliokaa) waliochaguliwa kuhuduria Clinic itakayoongozwa na makocha wa kabla ya Manchester united wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa katika final za Airtel Rising stars zilizofanyika katika katika viwanja vya karume jijini Dar es Saalam.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala akikabidhi kombe la ubingwa wa Airtel Rising Stars kwa nahaodha wa timu ya Mwanza Kelvin Faru kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Timu ya Mwanza ikifurahia ushindi mara baada ya kuibuka mabingwa wa fainali za Airtel Rising Stars kwa mwaka 2013
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akiongea wakati wa kufunga michuano ya Fainali ya mashindano ya Airtel Rising Stars katika viwanja vya karume jijini Dar es saalam
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala akiongea wakati wa kufunga michuano ya Fainali ya mashindano ya Airtel Rising Stars katika viwanja vya karume jijini Dar es saalam
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos, akifatiwa na Raisi wa TFF sir Leodgar Tenga pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso wakikangua timu kabla ya kucheza mechi ya finali katika michuano ya Airtel Rising Stars , mechi ilikuwa kati ya Morogoro na Mwanza.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos akiongea na wachezaji kabla ya kuanza mechi za fainali
Mlinzi wa Mwanza Ally Mnasi (kushoto) akipambana na Evance Robert wa Morogoro wakati wa fainali kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar mwishoni mwa wiki. Mwanza walishinda 1-0
Mchezaji Kelvin Matale wa Mwanza (kushoto) akichuana na Dickson Mwesa wa of Morogoro wakati wa fainali kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar mwishoni mwa wiki. Mwanza walishinda 1-0.
Rais wa TFF Leodegar Tenga akimvisha medali kocha wa timu ya taifa ya vijana Jacob Michaelsin kutambua mchango wake kwenye mashndano ya Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa yaliyomalizika uwanja wa Karume mwishoni mwa wiki
Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Tanzania Levi Nyakundi akikabidhi mfano wa hundi kwa mchezaji bora wa Airtel Rising Stars Anna Hebron kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.