NAIBU WAZIRI DK RASHID AZINDUA BAJAJ ZA MRADI WA MARIE STOPES ZA MRADI WA HUDUMA YA MPANGO WA UZAZI

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akikata utepe ikiwa ni ishara ya ishara ya uzinduzi wa usafiri wa bajaji zitakazokuwa zinatumiwa na wauguzi  wa Shirika la Marie Stopes kwenda kwa wananchi kutoa huduma ya Uzazi wa Mpango. Wanaoshuhudia uzinduzi huo uliofanyika leo eneo la Uwanja wa Sifa, Tandale, Dar es Salaam ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Ulla Muller (kushoto) Mkurugenzi wa Mifumo ya Afya wa shirika hilo, Dk. Joseph Komwihangiro na Redd's Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred, wa pili kulia. (PICHA NA  KHAMIS MUSSA)


                                Redd's Miss Tanzania 2012, Brigitte akihutubia katika hafla hiyo
                                         Dk. Rashid akihutubia katika mkutano huo
        
                                                         Picha ya pamoja
                                          Wananchi wakisikiliza kwa makini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.