RAIS WA SMZ DKT SHEIN AFUNGUA MSIKITI WA MASJID AQSA BAMBI KIJIBWE MTU

                
 
IMG_8106 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa Kijiji
cha Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja, alipofika
kuufungua Msikiti masjid Al Aqsa,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh
Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish,kwa usimamizi wa Mwakilishi
wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.IMG_8116
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya
ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi
Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh
Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi
wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia) [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_8123
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya
ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi
Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh
Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi
wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia)[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_8130 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akiutembelea
Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya
kati Jimbo la Uzini Unguja,mara baada ya kuufungua rasmi,msikiti huo
umejengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab
Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza
Daramsi,(kulia)           [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8142 Wananchi na waislamu waliohudhuria katika
Sherehe ya ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa,katika Kijiji cha
Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja,wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na kuwapa nasaha
katika kuuenzi Msikiti huo,uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa
Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo
Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia)[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_8188
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waislamu na
Wananchi wa Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati
Unguja leo,wakati wa Ufunguzi wa msikiti Masjid Al Aqsa,uliojengwa kwa
ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa
usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza
Daramsi,(kulia)[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.