Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja  wakiwa katika chakula cha futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni  jana.
 Baadhi ya akina mama wa   Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Mkokotoni.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakijumuika katika chakula cha futari aliyoiandaa katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni jana
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(katikati)akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika futari aliyowaalika viwanja vya Ikulu ndog Mkokotoni jana. (pili kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa rais Mama Asha Balozi,na Mkuu wa wilaya ya  Kaskazini A Riziki Juma Simai,(kulia).Picha na Ramadhan Othman, IKULU-Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA