SVIONA NYAMEYO AWA REDD'S MISS TEMEKE

 Mshindi wa Redd's Miss Temeke 2013, Sviona Nyameyo (katikati), ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akiwa na mshindi wa pili,  Narietha  Boniface, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Muhimbili (MUHAS), na mshindi wa tatu,  Latifa Mohamed ambaye ni muhitimu wa kidato cha sita baada ya kutangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika TCC Club Chang'ombe, Dar es Salaam
 Bendi ya Twanga Pepeta ikitumbuiza katika mashindano hayo
 Walimb wende wakionesha umahiri wa kucheza muziki
 Majaji wa mashindano hayo, Albert Makoye, Dk. Lamesh Shah (katikati) na Lucas Lutha (kulia), wakifuatilia kwa makini.
 Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept Tanzania Limited, Juma Pinto.
 Warembo wakiwa wamejipanga tayari kwa mashindano hayo
 Redds miss Temeke waliofanikiwa kuingia tano bora
                                                Msanii Ben Paul akitumbuiza
 Mwandaaji wa shindano hilo, Benny Kisaka akitangaza washindi  na zawadi watakazozawadiwa
 Mshindi wa Pili
 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu ambaye alikuwa mgeni rasmi akimkabidhi mshindi wa kwanza wa shindano hilo, Sviona Nyameyo zawadi ya sh.milioni 1.
 Mkurugenzi wa Rio Gym $ Spa,  Said Othman (kulia), akimkabidhi kadi itakayo muwezesha  Mkurugenzi wa BMP Promotion, Beny Kisaka ambaye ni muandaaji wa mashindano ya Redd's Miss Temeke kuingia katika Gym hiyo kufanya mazoezi kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya kuwa muandaaji bora wa mashindano hayo kwa zaidi ya miaka 15. Gym hiyo ipo kwenye Jengo la Quality Centre Barabara ya Nyerere. Kadi hiyo imelipiwa sh. milioni 1.4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited< David Mgwassa (wa pili kulia) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Masoko wa kiwanda hicho, Joseph Chibehe. Kiwanda hicho kimedhamini shindano hilo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA