TAIFA STARS YAPIGWA NA UGANDA 1-0

 Baada ya mchezo kumalizika ubao wa matangazo ulikuwa unaonesha hivi
 Mchezaji John Bocco (kulia) wa Taifa Stars akiwania mpira na Kasaga Richard wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes'katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 Mchezaji John Bocco (kulia) wa Taifa Stars akiwania mpira na Kasaga Richard wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes'katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Uganda imeshinda bao 1-0
 Kocha wa timu ya Uganda Micho akiwapa mawaidha wachezaji wake
 Sehemu ya umati wa wapenzi wa soka ulioshuhudia mechi hiyo
 Mchezaji wa Uganda akiwa chini baada ya kuumia
 Mchezaji wa Taifa Stars, Haruni Chanongo (katikati), akiwa katika harakati za kuwania mpira na Wadada Nico wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Afrika ya wachezaji wa ndani (CHAN), kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 

 Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Poulsen (kushoto) akiwa hoi pamoja na mwenzie  baada ya mechi dhidi ya Uganda kumalizika na kufungwa bao 1-0
 Wapenzi wa Uganda wakiishangilia timu yao
 Wachezaji wa Uganda wakishangilia ushindi baada ya mechi kumalizika. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.