MHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIVUNJA VIGAE KWA KUPIGA NGUMI LEO MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
  MHITIMU WA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI AKIJIANDAA KUVUNJA VIGAE KWA KUPIGA NGUMI LEO MJINI MOSHI ALIPOKUA AKIFANYA ONYESHO LA UKAKAMAVU WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YALIYOJUMUISHA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
Wahitimu wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakifanya onyesho la kareti  jana mjini moshi  wakati wa sherehe za kufunga mafunzo yaliyojumuisha askari polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja katika chuo cha polisi moshi (ccp).
 KIKUNDI CHA KARETI NA JUDO CHA WAHITIMU WA MAFUZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI WAKIFANYA ONYESHO LA KARETI KWA MGENI RASMI MH, Dr. EMMANUEL NCHIMBI WAKATI WA SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO HAYO. TAKRIBANI ASKARI POLISI ELFU TATU NA TISINI NA MBILI WALIHITIMU MAFUNZO, WAKIWEMO ASKARI WA UHAMIAJI HAMSINI NA MOJA KATIKA CHUO CHA POLISI MOSHI (CCP).
Askari polisi waliohitimu mafunzo, wakionyesha pikipiki inavyoweza kusaidia katika kukabiliana na wahalifu kwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh, dr. emmanuel nchimbi aliyekua mgeni rasmi katika sherehe za kufunga mafunzo ya awali kwa askari polisi na uhamiaji jana mjini moshi. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja.Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
--
 Zaidi ya Askari Polisi wapya 3,092 wamehitimu mafunzo yao ya awali ya Polisi katika Chuo cha Polisi (CCP) kilichopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo.
Polisi hao wapya ambao wanaingia mtaani nchi nzima wataingia mtaani wakati wowote kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zao unakuwa madhubuti.
Mafunzo yao yamefungwa chuoni hapo na Waziri Mwenye dhamana ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi kwa kushuhudia maonesho mbalimbali ya vitu walivyo jifunza jambo ambalo endapo kama watalitumia vyema basi litaleta chachu katika kukabiliana na uhalifu unao tikisa katika maeneo mbalimbali ya nchi pamoja na watu wasio tii sharia hadi washurutishwe.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*