WAKURUGENZ​I WATENDAJI WA NBC NA SCB WASHIRIKI MKUTANO WA AFRICAN FIRST LADIES SUMMIT 2013 JIJINI DAR ES SALAAM

scbMizinga Melu Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya National Bank Of Commerce (NBC) kulia akizungumza na Liz Lloyd Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chatered mara baada ya Mke wa Rais wa Marekani Mama Michelle Obama kumaliza majadiliano katika mkutano wa African First Ladies Summit 2013 unaomalizika leo jijini Dar es salaam kwenye hoteli ya Serena, Mkutano huo ulidhaminiwa na taaisis ya George W. Bush Institute ya George Bush Rais mstaafu wa Marekani, katikati ni Mwinda Kiula Mkuu wa Masoko, Mawasilianona Mahusiano ya Biashara NBC

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*