WANANCHI RORYA, SUMBAWANGA, MUHEZA NA NJOMBE WATOA MAONI RASIMU YA KATIBA

Mabaraza ya Katiba ya Wilaya yanayoendeshwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba yanaendelea na kazi ya kujadili na kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume. Mikutano hii ilianza tarehe 12 Julai mwaka huu na inatarajia kumalizika tarehe 12 Septemba, 2012. Pichani, wakazi wa baadhi ya maeneo wakiendelea na mikutano hiyo. PICHANI: Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Mji wa Njombe wakijadili na kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani hapo jana (Julai 16, 2013). PICHA ZOTE/TUME YA KATIBA

Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakijadili na kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani hapo jana (Julai 16, 2013).

Wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Rorya katika ukumbi wa mkutano wilayani humo muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa kujadili na kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo uliitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba Julai 14, 2013.

Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga Bi. Faustina Vallery akitoa kuhusu maadili katika Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani hapo juzi (Julai 14, 2013).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA