Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mheshimiwa Radhia Msuya akizungumza na wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA waliomtembelea ofisini kwake jijini Pretoria
  Wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA katika picha ya pamoja na Balozi Radhia Msuya (wane kushoto). Wengine katika picha ni Jasper Masika Mtanzania anayeishi Afrika Kusini, Phinias Bashaya wa Mwananchi, Pascal Shelutete Meneja Uhusiano TANAPA, Lilian Shirima (TBC) , Alex Magwiza (TBC), Albano Midelo (Nipashe) na Afisa wa Ubalozi.
  Wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA katika picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Med Clinic alikolazwa Rais wa Kwanza Mzalendo Nelson Mandela akiendelea na matibabu.
Wanahabari walioshinda Tuzo za Habari za TANAPA katika picha ya pamoja nje ya Kijiji cha Makumbusho cha Lesedi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.