WATEJA WATATU WA TIGO WAIBUKA NA ZAWADI ZA BAJAJI

 Meneja Bidhaa wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, Husn Seif (kushoto) akibofya kwenye kompyuta  kumpata mmoja wa wateja watatu walioshinda Bajaji katika droo ya kwanza ya Promosheni ya 'Miliki Biashara Yako' iliyofanyika mchana huu jijini Dar es Salaam. Walioshinda ni Mohamed Ramadhan, Adam Said Kalulu na Riziki Lucas Kisema wote wakazi wa Dar es Salaam.Anayeshuhudia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Kusimamia Michezo ya Kubahatisha, Chiku Saleh.

Promosheni hiyo iliyoanza Ijumaa iliyopita itawanufaisha wateja 60 kwa kila mmoja kuzawadiwa Bajaji moja. Kiingilio ni kuweka kwenye simu salio kuanzia sh. 1000 kwa siku. Hafla ya kuwakabidhi bajaji washindi hao itafanyika Alhamis ijayo jijini Dar es Salaam (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
Meneja Chapa ya Tigo, William Mpinga akiwasiliana kwa simu na  mmoja kati ya wateja watatu walioshinda promosheni hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA